Joshua 21:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kedemothi na Mefaathi, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Kedemothi pamoja na malisho yake, na Mefaathi pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kedemothi na Mefaathi, miji minne pamoja na sehemu zake za malisho;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kedemothi pamoja na mbuga zake za malisho na Mefaathi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kedemoti pamoja na malisho yake na Mefati pamoja na malisho yake, ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Kedemothi pamoja na malisho yake, na Mefaathi pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kedemoti pamoja na mbuga zake za malisho na Mefati pamoja na mbuga zake za malisho. Kwa jumla, miji mine.