Joshua 21:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika eneo la kabila la Gadi walipewa Ramothi wa Gileadi, mji wa kukimbilia usalama, pamoja na mbuga zake za malisho, Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka kabila la Gadi, walipewa: Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika kabila ya Gadi Ramothi katika Gileadi pamoja na malisho yake, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji, na Mahanaimu pamoja na malisho yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika eneo la kabila la Gadi walipewa Ramothi wa Gileadi, mji wa kukimbilia usalama, pamoja na mbuga zake za malisho, Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka katika kabila la Gadi walipewa, Ramoth katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya ye yote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka kabila la Gadi walipewa, Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika kabila la Gadi Ramothi katika Gileadi pamoja na mbuga zake za malisho, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji, na Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika eneo la kabila la Gadi walipewa Ramothi wa Gileadi, mji wa kukimbilia usalama, pamoja na mbuga zake za malisho, Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwa shina la Gadi: mji wa Rama wa Gileadi, uliokuwa wa kukimbilia wauaji, pamoja na malisho yake na Mahanaimu pamoja na malisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika kabila ya Gadi Ramothi katika Gileadi pamoja na malisho yake, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji, na Mahanaimu pamoja na malisho yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika eneo la kabila la Gadi walipewa Ramoti wa Gileadi, muji wa kukimbilia usalama, pamoja na mbuga zake za malisho, Mahanaimu pamoja na mbuga zake za malisho,