Joshua 21:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heshboni pamoja na mbuga zake za malisho na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heshboni na Yazeri, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Heshboni pamoja na malisho yake, na Yazeri pamoja na malisho yake; jumla yake miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heshboni pamoja na mbuga zake za malisho na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heshboni na Yazeri, miji minne pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Heshboni pamoja na mbuga zake za malisho, na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho; jumla yake miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heshboni pamoja na mbuga zake za malisho na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hesiboni pamoja na malisho yake, Yazeri pamoja na malisho yake, yote ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Heshboni pamoja na malisho yake, na Yazeri pamoja na malisho yake; jumla yake miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesiboni pamoja na mbuga zake za malisho na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji mine.