Joshua 21:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji yote waliyopewa wazawa wa Merari, yaani jamaa za Walawi zilizobaki, ilikuwa kumi na miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji yote waliyopewa koo za Wamerari, waliokuwa mabaki ya Walawi, ilikuwa ni kumi na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji hiyo yote ilikuwa ni miji ya wana wa Merari kwa kuandama jamaa zao, ni hizo jamaa za Walawi zilizosalia; na kura yao ilikuwa ni miji kumi na miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji yote waliyopewa wazawa wa Merari, yaani jamaa za Walawi zilizobaki, ilikuwa kumi na miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji yote waliyopewa koo za Wamerari, ambao walikuwa mabaki ya Walawi, jumla ni kumi na miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji yote waliyopewa koo za Wamerari, waliokuwa mabaki ya Walawi, ilikuwa ni kumi na miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji hiyo yote ilikuwa ni miji ya wana wa Merari kwa kufuata jamaa zao, ni hizo jamaa za Walawi zilizosalia; na kura yao ilikuwa ni miji kumi na miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji yote waliyopewa wazawa wa Merari, yaani jamaa za Walawi zilizobaki, ilikuwa kumi na miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji yote, wana wa Merari waliosalia miongoni mwa koo za Walawi waliyozipatia koo zao kwa kupigiwa kura, ilikuwa miji 12.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji hiyo yote ilikuwa ni miji ya wana wa Merari kwa kuandama jamaa zao, ni hizo jamaa za Walawi zilizosalia; na kura yao ilikuwa ni miji kumi na miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji yote waliyopewa wazao wa Merari, ni kusema watu wa ukoo wa Walawi zilizobaki, ilikuwa kumi na miwili.