Joshua 21:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mji kati ya miji hii ulikuwa na maeneo ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na malisho yake, yaliyouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja wa miji hii ulikuwa na sehemu ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja wa miji hii ulikuwa na sehemu ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na mbuga zake za malisho, zilizouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
miji hii ilikuwa mji kwa mji pamoja na malisho; ndivyo, miji hiyo yote ilivyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji hiyo kila mmoja ulikuwa pamoja na malisho yake, yaliyouzunguka pande zote; ndivyo ilivyokuwa katika miji hiyo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja kati ya miji hii ulizungukwa na mbuga za malisho.