Joshua 21:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna hata ahadi yoyote njema ambayo Mwenyezi-Mungu aliiahidi Israeli ambayo haikutimia. Ahadi zote zilitimia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna hata mojawapo ya ahadi nzuri ya Mwenyezi Mungu kwa nyumba ya Israeli ambayo haikutimia; kila moja ilitimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Halikuanguka neno lo lote katika jambo lo lote lililokuwa ni jema ambalo Bwana alikuwa amelinena katika habari ya nyumba ya Israeli; yalitimia mambo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna hata ahadi yoyote njema ambayo Mwenyezi-Mungu aliiahidi Israeli ambayo haikutimia. Ahadi zote zilitimia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna hata mojawapo ya ahadi nzuri za BWANA kwa ajili ya nyumba ya Israeli ambayo haikutimia; kila moja ilitimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna hata mojawapo ya ahadi nzuri ya bwana kwa nyumba ya Israeli ambayo haikutimia; kila moja ilitimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Halikuanguka neno lolote katika jambo lolote lililokuwa ni jema ambalo BWANA alikuwa amelinena katika habari ya nyumba ya Israeli; yalitimia mambo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna hata ahadi yoyote njema ambayo Mwenyezi-Mungu aliiahidi Israeli ambayo haikutimia. Ahadi zote zilitimia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yale mema yote, Bwana aliyowaagia wao wa mlango wa Isiraeli, halikuwapotelea hata moja, yalikuwa yametimia yote pia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Halikuanguka neno lo lote katika jambo lo lote lililokuwa ni jema ambalo BWANA alikuwa amelinena katika habari ya nyumba ya Israeli; yalitimia mambo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna hata ahadi yoyote njema ambayo Yawe aliiahidi Waisraeli ambayo haikutimia. Ahadi zote zilitimia.