Joshua 21:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii na maeneo ya malisho ya kila mji, kama Mwenyezi Mungu alivyoamuru kupitia kwa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na malisho yake, kama Bwana alivyoamuru kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile BWANA alivyokuwa ameagiza kupitia kwa Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Waisraeli wakawapa Walawi miji hii pamoja na sehemu zake za malisho, kama vile bwana alivyokuwa ameamuru kupitia kwa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na mbuga zake za malisho, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli waliwapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji hii ndiyo, wana wa Isiraeli waliyowapa Walawi pamoja na malisho yao kwa kuwapigia kura, kama Bwana alivyoviagiza kinywani mwa Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na malisho yake, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakawapa Walawi miji hiyo pamoja na vijiji vya malisho yao, kama Yawe alivyomwagiza Musa.