Joshua 21:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yafuatayo ni majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakawapa katika kabila ya wana wa Yuda, na katika kabila ya wana wa Simeoni, miji hii iliyotajwa hapa kwa majina;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yafuatayo ni majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka makabila ya Yuda na Simeoni waligawa miji ifuatayo kwa majina
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakawapa katika kabila la wana wa Yuda, na katika kabila la wana wa Simeoni, miji hii iliyotajwa hapa kwa majina;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yafuatayo ni majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa shina la wana wa Yuda na kwa shina la wana wa Simeoni waliwapa Walawi miji hii, waliyoita kwa majina yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakawapa katika kabila ya wana wa Yuda, na katika kabila ya wana wa Simeoni, miji hii iliyotajwa hapa kwa majina;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa