Joshua 22:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua akawaita watu wa kabila la Reubeni, la Gadi na watu wa nusu ya kabila la Manase
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Yoshua akawaita Wareubeni, na Wagadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua akawaita watu wa kabila la Reubeni, la Gadi na watu wa nusu ya kabila la Manase
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo Yoshua akawaita Wareubeni, na Wagadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua akawaita watu wa kabila la Reubeni, la Gadi na watu wa nusu ya kabila la Manase
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosua alipowaita Warubeni na Wagadi nao waliokuwa nusu ya shina la Manase,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo Yoshua akawaita Wareubeni, na Wagadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua akawaita watu wa kabila la Rubeni, la Gadi na watu wa nusu ya kabila la Manase