Joshua 22:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliposikia hivyo, Waisraeli walikusanyika wote huko Shilo kwenda kupigana vita na hayo makabila ya mashariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli hao wengine walikusanyika huko Shilo ili wapigane nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, wana wa Israeli waliposikia habari hiyo, mkutano wote wa wana wa Israeli wakakutanika pamoja huko Shilo, ili waende kupigana nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliposikia hivyo, Waisraeli walikusanyika wote huko Shilo kwenda kupigana vita na hayo makabila ya mashariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kusanyiko lote la Israeli wakakusanyika huko Shilo ili wakapigane vita dhidi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kusanyiko lote la Israeli wakakusanyika huko Shilo ili wakapigane vita dhidi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, wana wa Israeli waliposikia habari hiyo, mkutano wote wa wana wa Israeli wakakutanika pamoja huko Shilo, ili waende kupigana nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliposikia hivyo, Waisraeli walikusanyika wote huko Shilo kwenda kupigana vita na hayo makabila ya mashariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, wana wa Isiraeli walipoyasikia wakakusanyika mkutano wote wa wana wa Isiraeli huko Silo, wawapandie kupiga vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, wana wa Israeli waliposikia habari hiyo, mkutano wote wa wana wa Israeli wakakutanika pamoja huko Shilo, ili waende kupigana nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliposikia hivyo, Waisraeli walikusanyika wote kule Shilo kwenda kupigana vita na hayo makabila ya upande wa mashariki.