Joshua 22:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Finehasi akaondoka pamoja na wakuu kumi, kila mmoja akiwa mkuu wa jamaa katika kabila lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatuma viongozi kumi pamoja naye, mmoja kutoka kwa kila kabila la Israeli, kila mmoja akiwa kiongozi katika jamaa miongoni mwa koo za Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na pamoja naye wakuu kumi, mkuu mmoja wa nyumba ya mababa kwa ajili ya kila kabila ya Israeli; nao kila mmoja alikuwa ni kichwa cha nyumba ya mababa katika maelfu ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Finehasi akaondoka pamoja na wakuu kumi, kila mmoja akiwa mkuu wa jamaa katika kabila lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatuma pamoja naye watu kumi ambao ni viongozi, mmoja kwa ajili ya kila kabila la Israeli, kila mmoja aliye kiongozi katika mgawanyiko wa jamaa miongoni mwa koo za Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatuma pamoja naye watu kumi ambao ni viongozi, mmoja kwa kila kabila la Israeli, kila mmoja aliyekuwa kiongozi katika mgawanyiko wa jamaa miongoni mwa koo za Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na pamoja naye wakuu kumi, mkuu mmoja wa nyumba ya mababa kutoka kwa kila kabila la Israeli; nao kila mmoja alikuwa ni kichwa cha nyumba ya mababa katika maelfu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Finehasi akaondoka pamoja na wakuu kumi, kila mmoja akiwa mkuu wa jamaa katika kabila lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na wakuu kumi wa kwenda naye, mkuu mmoja mmoja wa milango yenye baba ya mashina yote ya Waisiraeli; nao hao wakuu kila mmoja wao alikuwa kichwa cha mlango wa baba zao miongoni mwa maelfu ya Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na pamoja naye wakuu kumi, mkuu mmoja wa nyumba ya mababa kwa ajili ya kila kabila ya Israeli; nao kila mmoja alikuwa ni kichwa cha nyumba ya mababa katika maelfu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Finehasi akaondoka pamoja na wakubwa kumi, kila mumoja akiwa mukubwa wa jamaa katika kabila lake.