Joshua 22:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakawaendea watu wa makabila ya Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase huko Gileadi wakawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofika Gileadi, kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, wakawaambia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakawafikilia hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase, katika nchi ya Gileadi, na wakasema nao, wakinena,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakawaendea watu wa makabila ya Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase huko Gileadi wakawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika katika nchi ya Gileadi, kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, wakawaambia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofika Gileadi, kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, wakawaambia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakawafikia hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase, katika nchi ya Gileadi, na wakasema nao, wakinena,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakawaendea watu wa makabila ya Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase huko Gileadi wakawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika kwa wana wa Rubeni na kwa wana wa Gadi nako kwao wa nusu ya shina la Manase katika nchi ya Gileadi wakasema nao kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakawafikilia hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase, katika nchi ya Gileadi, na wakasema nao, wakinena,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakawaendea watu wa makabila ya Rubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase kule Gileadi wakawaambia: