Joshua 22:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, dhambi ya Peori haikutosha? Hata ingawa kulikuja tauni juu ya kusanyiko la Mwenyezi Mungu, hadi leo hatujatakasika kutokana na dhambi hiyo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ule uovu wa Peori haututoshi, ambao hamjajitakasa nafsi zenu katika huo hata hivi leo, ijapokuwa ilikuja tauni juu ya mkutano wa Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, dhambi ya Peori ilikuwa ndogo sana kwetu? Mpaka leo hatujatakasika kutokana na dhambi hiyo, hata ingawa kulikuja tauni juu ya kusanyiko la BWANA!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, dhambi ya Peori haikutosha? Hata ingawa kulikuja tauni juu ya kusanyiko la bwana, mpaka leo hii hatujatakasika kutokana na dhambi hiyo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ule uovu wa Peori haututoshi, ambao hamjajitakasa nafsi zenu katika huo hata hivi leo, ijapokuwa ilikuja tauni juu ya mkutano wa BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, dhambi tulizotenda huko Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua jumuiya ya Mwenyezi-Mungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, tulizozikora kwa ajili ya Peori, hazikututoshea? Nasi hata siku hii ya leo hatujajieua kwa ajili yao, ingawa mkutano wa Bwana ulipigwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ule uovu wa Peori haututoshi, ambao hamjajitakasa nafsi zenu katika huo hata hivi leo, ijapokuwa ilikuja tauni juu ya mkutano wa BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zambi tulizotenda kule Peori hazitoshi? Hamwoni kwamba bado hatujajitakasa na kwamba mateso yake bado yanaisumbua watu wa Yawe?