Joshua 22:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akawaambia, Ninyi mmeyaandama hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa Bwana, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Mose mtumishi wa BWANA aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa bwana aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Mmeyaangalia yote, Mose, mtumishi wa Bwana, aliyowaagiza, mkaisikia sauti yangu na kuyatii yote, niliyowaagiza ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akawaambia, Ninyi mmeyaandama hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaambia: “Ninyi mumefuata yale yote Musa, mutumishi wa Yawe, aliyowaamuru na mumetii maagizo niliyowaamuru.