Joshua 22:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watu wa makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase wakawajibu viongozi wa jamaa za Israeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walipowajibu viongozi wa koo za Israeli, wakisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo hapo wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase, wakajibu, na kuwaambia hao waliokuwa ni vichwa vya maelfu ya Israeli, wakasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watu wa makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase wakawajibu viongozi wa jamaa za Israeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walipowajibu viongozi wa koo za Israeli, wakisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walipowajibu viongozi wa koo za Israeli, wakisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo hapo wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase, wakajibu, na kuwaambia hao waliokuwa ni vichwa vya maelfu ya Israeli, wakasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watu wa makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase wakawajibu viongozi wa jamaa za Israeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wana wa Rubeni nao wana wa Gadi nao wale wa nusu ya shina la Manase walipowajibu na kuwaambia wale wakuu wa maelfu ya Waisiraeli:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo hapo wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase, wakajibu, na kuwaambia hao waliokuwa ni vichwa vya maelfu ya Israeli, wakasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo watu wa makabila ya Rubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase wakawajibu viongozi wa jamaa za Waisraeli: