Joshua 22:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akayaambia makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase, “Leo tumejua kwamba Mwenyezi-Mungu yumo miongoni mwenu maana hamkumfanyia Mungu uasi. Sasa mmewaokoa Waisraeli wasiadhibiwe na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akawaambia Wareubeni, Wagadi na Manase, “Leo tunajua kwamba Mwenyezi Mungu yuko pamoja nasi, kwa sababu hamkukosa uaminifu kwa Mwenyezi Mungu katika jambo hili. Sasa mmewaokoa Waisraeli kutoka kwa mkono wa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Finehasi, mwana wa Eleazari, kuhani, akawaambia wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na wana wa Manase, akasema, Siku hii ya leo twajua ya kwamba Bwana yu kati yetu, kwa sababu hamkukosa katika jambo hili mbele ya Bwana; sasa ninyi mmewaokoa wana wa Israeli na mkono wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akayaambia makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase, “Leo tumejua kwamba Mwenyezi-Mungu yumo miongoni mwenu maana hamkumfanyia Mungu uasi. Sasa mmewaokoa Waisraeli wasiadhibiwe na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akawaambia hao Wareubeni, Wagadi na hiyo nusu ya kabila la Manase, “Leo tunajua kwamba BWANA yuko pamoja nasi, kwa sababu hamkukosa uaminifu kwa BWANA katika jambo hili. Sasa mmewaokoa Waisraeli na mkono wa BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akawaambia Wareubeni, Wagadi na Manase, “Leo tunajua kwamba bwana yuko pamoja nasi, kwa sababu hamkukosa uaminifu kwa bwana katika jambo hili. Sasa mmewaokoa Waisraeli na mkono wa bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Finehasi, mwana wa Eleazari, kuhani, akawaambia wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na wana wa Manase, akasema, Siku hii ya leo tumejua ya kwamba BWANA yu kati yetu, kwa sababu hamkukosa katika jambo hili mbele za BWANA; sasa ninyi mmewaokoa wana wa Israeli na mkono wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akayaambia makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase, “Leo tumejua kwamba Mwenyezi-Mungu yumo miongoni mwenu maana hamkumfanyia Mungu uasi. Sasa mmewaokoa Waisraeli wasiadhibiwe na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Pinehasi, mwana wa mtambikaji Elazari, alipowaambia wana wa Rubeni na wana wa Gadi na wana wa Manase: Leo hivi tunajua, ya kuwa Bwana yuko katikati yetu, kwa kuwa hamkumvunjia Bwana maagano kwa njia hiyo. Hivi ndivyo, mlivyowaokoa wana wa Isiraeli, mkono wa Bwana usiwapige.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Finehasi, mwana wa Eleazari, kuhani, akawaambia wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na wana wa Manase, akasema, Siku hii ya leo twajua ya kwamba BWANA yu kati yetu, kwa sababu hamkukosa katika jambo hili mbele ya BWANA; sasa ninyi mmewaokoa wana wa Israeli na mkono wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akayaambia makabila ya Rubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase: “Leo tumejua kwamba Yawe yuko kati yenu maana hamukumufanyia Mungu uasi. Sasa mumewaokoa Waisraeli wasiazibiwe na Yawe.”