Joshua 22:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Taarifa hiyo ikawafurahisha Waisraeli, wakamshukuru Mwenyezi-Mungu na kuacha mipango yao ya vita na lengo lao la kuharibu kabisa nchi iliyokuwa ya makabila ya Reubeni na Gadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walifurahi kusikia taarifa hiyo, na wakamhimidi Mungu. Wala hawakuzungumza tena habari za kupigana vita dhidi yao ili kuharibu nchi ambayo Wareubeni na Wagadi waliishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli nao wakaliridhia jambo hilo; nao wana wa Israeli wakamhimidi Mungu, wala hawakusema tena habari ya kuwaendea juu yao kupigana nao, wala kuiharibu nchi waliyoikaa wana wa Reubeni, na wana wa Gadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Taarifa hiyo ikawafurahisha Waisraeli, wakamshukuru Mwenyezi-Mungu na kuacha mipango yao ya vita na lengo lao la kuharibu kabisa nchi iliyokuwa ya makabila ya Reubeni na Gadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walifurahi kusikia taarifa hiyo, nao wakamhimidi Mungu. Wala hawakuzungumza tena habari za kupigana vita dhidi yao kuharibu nchi ambayo Wareubeni na Wagadi waliishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walifurahi kusikia taarifa hiyo, na wakamhimidi Mungu. Wala hawakuzungumza tena habari za kupigana vita dhidi yao ili kuharibu nchi ambayo Wareubeni na Wagadi waliishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ripoti hiyo ikawaridhisha Waisraeli; nao Waisraeli wakamhimidi Mungu, wala hawakusema tena habari ya kuwaendea ili kupigana nao, wala kuiharibu nchi waliyoikaa wana wa Reubeni, na wana wa Gadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Taarifa hiyo ikawafurahisha Waisraeli, wakamshukuru Mwenyezi-Mungu na kuacha mipango yao ya vita na lengo lao la kuharibu kabisa nchi iliyokuwa ya makabila ya Reubeni na Gadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili likawa jema machoni pao wana wa Isiraeli, kwa hiyo wana wa Isiraeli wakamtukuza Mungu, wasiseme tena: Na tuwapandie kupiga vita na kuiharibu hiyo nchi, wana wa Rubeni na wana wa Gadi wanakokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli nao wakaliridhia jambo hilo; nao wana wa Israeli wakamhimidi Mungu, wala hawakusema tena habari ya kuwaendea juu yao kupigana nao, wala kuiharibu nchi waliyoikaa wana wa Reubeni, na wana wa Gadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Habari hiyo ikawafurahisha Waisraeli, wakamushukuru Yawe na kuacha mipango yao ya vita na kusudi lao la kuharibu kabisa inchi iliyokuwa ya makabila ya Rubeni na Gadi.