Joshua 22:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa makabila ya Reubeni na Gadi wakaiita ile madhabahu ya “Ushuhuda,” kwani walisema, “Madhababu hii ni ushahidi wetu kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao Wareubeni na Wagadi wakaita madhabahu hayo Edi: kwa kuwa itakuwa shahidi kati yetu na ninyi kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, wakaiita madhabahu hiyo Edi; wakasema, Kwa kuwa ni ushahidi kati yetu ya kwamba yeye Bwana ndiye Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa makabila ya Reubeni na Gadi wakaiita ile madhabahu ya “Ushuhuda,” kwani walisema, “Madhababu hii ni ushahidi wetu kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao Wareubeni na Wagadi wakaiita ile madhabahu Edi, yaani Shahidi: kwa kuwa itakuwa shahidi kati yetu na ninyi kwamba BWANA ndiye Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao Wareubeni na Wagadi wakayaita yale madhabahu Edi, yaani Shahidi: kwa kuwa itakuwa shahidi kati yetu na ninyi kwamba bwana ndiye Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, wakaiita madhabahu hiyo Edi; wakasema, Kwa kuwa ni ushahidi kati yetu ya kwamba yeye BWANA ndiye Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa makabila ya Reubeni na Gadi wakaiita ile madhabahu ya “Ushuhuda,” kwani walisema, “Madhababu hii ni ushahidi wetu kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Rubeni na wana wa Gadi wakapaita pale pa kutambikia Shahidi wakisema: Ndipo, panapotushuhudia, ya kuwa Bwana ni Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, wakaiita madhabahu hiyo Edi; wakasema, Kwa kuwa ni ushahidi kati yetu ya kwamba yeye BWANA ndiye Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa makabila ya Rubeni na Gadi wakaiita ile mazabahu “Ushuhuda”, maana walisema: “Mazabahu hii ni ushuhuda wetu kwamba Yawe ndiye Mungu.”