Joshua 22:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akawabarikia, na kuwapa ruhusa waende zao; nao wakaenda mahemani kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akawabariki, na kuwapa ruhusa waende zao; nao wakaenda mahemani kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua akawabariki, akawapa ruhusa kwenda zao, nao wakashika njia kwenda mahemani kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akawabarikia, na kuwapa ruhusa waende zao; nao wakaenda mahemani kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua akawabariki na kuwaruhusu waende zao akawaambia: