Joshua 22:8 — Compare Translations
7 translations compared side by side
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akisema, “Rudini nyumbani kwenu na utajiri wenu mwingi, yaani makundi makubwa ya mifugo, mkiwa na fedha, dhahabu, shaba na chuma, pia mavazi mengi; nanyi mkagawane na ndugu zenu hizo nyara zilizotoka kwa adui zenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha akanena nao, na kuwaambia, Rudini na mali mengi mahemani kwenu, na ng'ombe wengi sana, na fedha, na dhahabu, na shaba, na chuma, na mavao mengi sana; mzigawanye na ndugu zenu hizo nyara za adui zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akisema, “Rudini ninyi nyumbani mwenu na utajiri wenu, yaani makundi makubwa ya mifugo, mkiwa na fedha, dhahabu, shaba na chuma, pia wingi wa nguo, nanyi mkagawane na ndugu zenu hizo nyara zilizotoka kwa adui zenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akisema, “Rudini nyumbani mwenu na utajiri wenu mwingi, yaani makundi makubwa ya mifugo, mkiwa na fedha, dhahabu, shaba na chuma, pia wingi wa nguo, nanyi mkagawane na ndugu zenu hizo nyara zilizotoka kwa adui zenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha akanena nao, na kuwaambia, Rudini na mali mengi mahemani kwenu, na ng'ombe wengi sana, na fedha, na dhahabu, na shaba, na chuma, na mavazi mengi sana; mgawane na ndugu zenu hizo nyara za adui zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akiwaambia kwamba: Rudini mahemani kwenu na kuyachukua mapato yenu mengi, mbuzi na kondoo wengi sana na fedha na dhahabu na shaba na vyuma na nguo nyingi mno. Hayo mliyoyateka kwa adui zenu yagawanyeni na ndugu zenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha akanena nao, na kuwaambia, Rudini na mali mengi mahemani kwenu, na ng’ombe wengi sana, na fedha, na dhahabu, na shaba, na chuma, na mavao mengi sana; mzigawanye na ndugu zenu hizo nyara za adui zenu.