Joshua 23:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda mrefu, Mwenyezi-Mungu aliwajalia Waisraeli amani kwa kuwaokoa na maadui zao pande zote. Wakati huo Yoshua alikuwa mzee wa miaka mingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda mrefu kupita, naye Mwenyezi Mungu akawa amewapa Israeli pumziko mbele ya adui zao wote waliowazunguka, Yoshua, wakati huo akiwa mzee na umri ukiwa umeendelea sana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa baada ya siku nyingi, Bwana alipokuwa amekwisha kuwapa Israeli raha mbele ya adui zao pande zote, naye Yoshua alipokuwa mzee, mwenye miaka mingi sana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda mrefu, Mwenyezi-Mungu aliwajalia Waisraeli amani kwa kuwaokoa na maadui zao pande zote. Wakati huo Yoshua alikuwa mzee wa miaka mingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda mrefu kupita, naye BWANA alikuwa amewapa Israeli raha mbele ya adui zao wote waliowazunguka, Yoshua, wakati huo alikuwa mzee na umri ukiwa umeendelea sana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda mrefu kupita, naye bwana akawa amewapa Israeli pumziko mbele ya adui zao wote waliowazunguka, Yoshua, wakati huo akiwa mzee na umri ukiwa umeendelea sana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa baada ya siku nyingi, BWANA alipokuwa amekwisha kuwapa Israeli amani mbele ya adui zao pande zote, naye Yoshua alipokuwa mzee, mwenye miaka mingi sana,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda mrefu, Mwenyezi-Mungu aliwajalia Waisraeli amani kwa kuwaokoa na maadui zao pande zote. Wakati huo Yoshua alikuwa mzee wa miaka mingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipopita nyingi tangu hapo, Bwana alipowapatia wana wa Isiraeli kutulia, wasipigane na adui zao wote waliowazunguka, Yosua akawa mzee kwa kuwa mwenye siku nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa baada ya siku nyingi, BWANA alipokuwa amekwisha kuwapa Israeli raha mbele ya adui zao pande zote, naye Yoshua alipokuwa mzee, mwenye miaka mingi sana,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya muda murefu, Yawe aliwajalia Waisraeli amani kwa kuwaokoa na waadui zao pande zote. Wakati ule Yoshua alikuwa muzee wa miaka mingi.