Joshua 23:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu wenu mmoja tu anaweza kuwakimbiza maadui elfu, kwani Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye anayewapigania kama alivyowaahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mmoja miongoni mwenu anafukuza watu elfu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapigania, kama alivyoahidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja miongoni mwenu atafukuza watu elfu; maana Bwana, Mungu wenu, ndiye anayewapigania, kama alivyowaambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu wenu mmoja tu anaweza kuwakimbiza maadui elfu, kwani Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye anayewapigania kama alivyowaahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mmoja miongoni mwenu atafukuza watu elfu, kwa kuwa BWANA Mungu wenu anawapigania, kama alivyoahidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mmoja miongoni mwenu anafukuza watu elfu, kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapigania, kama alivyoahidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja miongoni mwenu atafukuza watu elfu; maana BWANA, Mungu wenu, ndiye anayewapigania, kama alivyowaambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu wenu mmoja tu anaweza kuwakimbiza maadui elfu, kwani Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye anayewapigania kama alivyowaahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu mmoja wa kwenu hufukuza elfu wa kwao, kwani Bwana Mungu wenu ndiye anayewapigia vita, kama alivyowaambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja miongoni mwenu atafukuza watu elfu; maana BWANA, Mungu wenu, ndiye anayewapigania, kama alivyowaambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu wenu mumoja tu anaweza kuwakimbiza waadui elfu moja, maana Yawe Mungu wenu ndiye anayewapigania kama alivyowaahidi.