Joshua 23:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, muwe waangalifu sana kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kuweni waangalifu sana kumpenda Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jihadharini nafsi zenu, basi, ili mmpende Bwana, Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, muwe waangalifu sana kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo iweni waangalifu sana kumpenda BWANA Mungu wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kuweni waangalifu sana kumpenda bwana Mwenyezi Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jihadharini nafsi zenu, basi, ili mmpende BWANA, Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, muwe waangalifu sana kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jiangalieni sana kwa ajili ya roho zenu, mmpende Bwana Mungu wenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jihadharini nafsi zenu, basi, ili mmpende BWANA, Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mukuwe waangalifu sana kumupenda Yawe, Mungu wenu.