Joshua 23:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mmeona mambo yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyoyatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye aliyewapigania.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi wenyewe mmeona kila kitu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliyewapigania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nanyi mmeona mambo yote ambayo Bwana, Mungu wenu, amewatenda mataifa haya yote kwa ajili yenu; kwa maana Bwana, Mungu wenu, ndiye aliyewapigania ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mmeona mambo yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyoyatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye aliyewapigania.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi wenyewe mmeona kila kitu BWANA Mungu wenu, alichowatendea makabila haya yote kwa ajili yenu, ilikuwa ni BWANA Mungu wenu aliyewapigania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi wenyewe mmeona kila kitu bwana Mwenyezi Mungu wenu, alichowatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Ilikuwa ni bwana Mwenyezi Mungu wenu aliyewapigania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nanyi mmeona mambo yote ambayo BWANA, Mungu wenu, amewatenda mataifa haya yote kwa ajili yenu; kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye aliyewapigania ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mmeona mambo yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyoyatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye aliyewapigania.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mmeyaona yote, Bwana Mungu wenu aliyowafanyizia hao wamizimu wote machoni penu, Bwana Mungu wenu akiwapigia vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nanyi mmeona mambo yote ambayo BWANA, Mungu wenu, amewatenda mataifa haya yote kwa ajili yenu; kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye aliyewapigania ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mumeona mambo yote Yawe, Mungu wenu, aliyoyatendea mataifa haya yote kwa ajili yenu. Yawe, Mungu wenu, ndiye aliyewapigania.