Joshua 23:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, muwe imara katika kuzingatia yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria ya Mose, kamwe msiyaache.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuweni hodari sana, kuweni waangalifu kutii yote yaliyoandikwa katika Kitabu cha Torati ya Musa, pasipo kugeuka upande wa kuume au kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, iweni mashujaa sana kuyashika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ya Musa, na kuyatenda, msiyaache kwa kugeukia upande wa kuume wala upande wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, muwe imara katika kuzingatia yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria ya Mose, kamwe msiyaache.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Iweni hodari sana, iweni waangalifu kutii yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Torati ya Mose, pasipo kugeuka upande wa kuume au kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuweni hodari sana, kuweni waangalifu kutii yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Torati ya Musa, pasipo kugeuka upande wa kuume au kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, iweni thabiti sana kuyashika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Torati ya Musa, na kuyatenda, msiyaache kwa kugeukia upande wa kulia wala upande wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, muwe imara katika kuzingatia yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria ya Mose, kamwe msiyaache.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jishupazeni sana, myaangalie na kuyafanya yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Maonyo ya Mose, msiyaache na kugeuka kuumeni wala kushotoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, iweni mashujaa sana kuyashika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ya Musa, na kuyatenda, msiyaache kwa kugeukia upande wa kuume wala upande wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, mukuwe imara katika kushika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria ya Musa, musiyaache hata kidogo.