Joshua 23:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bali ambataneni na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kama mlivyofanya mpaka leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali mtashikamana kwa uthabiti na Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama vile mmefanya hadi sasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali shikamaneni na Bwana, Mungu wenu, kama mlivyotenda hata hivi leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bali ambataneni na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kama mlivyofanya mpaka leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali mtashikamana kwa uthabiti na Mungu wenu, kama vile ambavyo mmefanya mpaka sasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali mtashikamana kwa uthabiti na bwana, Mungu wenu, kama vile ambavyo mmefanya mpaka sasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali shikamaneni na BWANA, Mungu wenu, kama mlivyotenda mpaka hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bali ambataneni na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kama mlivyofanya mpaka leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila gandamaneni na Bwana Mungu wenu, kama mlivyofanya mpaka siku hii ya leo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali shikamaneni na BWANA, Mungu wenu, kama mlivyotenda hata hivi leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini muambatane na Yawe, Mungu wenu, kama mulivyofanya mpaka leo.