Joshua 23:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mtu ambaye ameweza kuwapinga nyinyi hadi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenyezi Mungu amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, hadi leo hakuna yeyote aliyeweza kusimama mbele yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana amefukuza mbele yenu mataifa walio hodari, kisha wenye nguvu, lakini kwenu ninyi hapana mtu aliyesimama mbele yenu hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mtu ambaye ameweza kuwapinga nyinyi hadi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“BWANA amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, mpaka siku ya leo hakuna ye yote aliyeweza kusimama mbele yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ bwana amewafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu, mpaka siku ya leo hakuna yeyote aliyeweza kusimama mbele yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA amefukuza mbele yenu mataifa yaliyo hodari na yenye nguvu, na kwenu ninyi hapana mtu aliyewahi kusimama mbele yenu hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mtu ambaye ameweza kuwapinga nyinyi hadi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana amefukuza machoni penu mataifa makubwa yenye watu wenye nguvu, hata mmoja asiweze kusimama mbele yenu mpaka siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA amefukuza mbele yenu mataifa walio hodari, kisha wenye nguvu, lakini kwenu ninyi hapana mtu aliyesimama mbele yenu hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe ameyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu na hakuna mutu ambaye ameweza kuwapinga ninyi mpaka leo.