Joshua 24:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilituma manyigu mbele yenu ambayo yaliwatimua wafalme wawili wa Waamori. Hamkufanya haya kwa kupania mapanga wala pinde zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatuma nyigu mbele yenu, ambao pia waliwafukuza mbele yenu, hao wafalme wawili wa Waamori. Siyo upanga au upinde wenu wenyewe vilivyowapatia ushindi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikatuma mavu mbele yenu, waliowafukuza mbele yenu hao wafalme wawili wa Waamori, si kwa upanga wako, wala kwa upinde wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilituma manyigu mbele yenu ambayo yaliwatimua wafalme wawili wa Waamori. Hamkufanya haya kwa kupania mapanga wala pinde zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikatuma manyigu mbele yenu, ambao pia waliwafukuza mbele yenu, hao wafalme wawili wa Waamori. Siyo upanga au upinde wenu wenyewe vilivyowapatia ushindi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikatuma manyigu mbele yenu, ambao pia waliwafukuza mbele yenu, hao wafalme wawili wa Waamori. Siyo upanga au upinde wenu wenyewe vilivyowapatia ushindi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikatuma nyigu mbele yenu, waliowafukuza mbele yenu hao wafalme wawili wa Waamori, si kwa upanga wako, wala kwa upinde wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilituma manyigu mbele yenu ambayo yaliwatimua wafalme wawili wa Waamori. Hamkufanya haya kwa kupania mapanga wala pinde zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikatanguliza mbele yenu mavu, nao wakawafukuza mbele yenu wale wafalme wawili wa Waamori, msichomoe upanga, wala msitumie upindi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikatuma mavu mbele yenu, waliowafukuza mbele yenu hao wafalme wawili wa Waamori, si kwa upanga wako, wala kwa upinde wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilituma nyuki mbele yenu ambazo ziliwafukuza wafalme wawili wa Waamori. Hamukufanya yale kwa kukamata mapanga wala mishale yenu.