Joshua 24:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo hao watu wakajibu, “Hili jambo liwe mbali nasi la kumsahau Mwenyezi Mungu na kuitumikia miungu mingine!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache Bwana, ili kuitumikia miungu mingine;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo hao watu wakajibu, “Hili liwe mbali nasi la kumsahau BWANA na kuitumikia miungu mingine!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo hao watu wakajibu, “Hili jambo liwe mbali nasi la kumsahau bwana na kuitumikia miungu mingine!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watu wakamjibu, “Hatutaweza kamwe kumwacha Mwenyezi-Mungu na kuitumikia miungu mingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu walipojibu wakisema: Shauri hili na litukalie mbali la kumwacha Bwana na kutumikia miungu mingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watu wakamujibu: “Hatutaweza hata kidogo kumwacha Yawe na kuitumikia miungu mingine.