Joshua 24:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watu wakamwambia Yoshua, “La, hasha! Sisi tutamtumikia Mwenyezi-Mungu tu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao watu wakamwambia Yoshua, La! Lakini tutamtumikia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watu wakamwambia Yoshua, “La, hasha! Sisi tutamtumikia Mwenyezi-Mungu tu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao watu wakamwambia Yoshua, La! Lakini tutamtumikia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watu wakamwambia Yoshua, “La, hasha! Sisi tutamtumikia Mwenyezi-Mungu tu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watu wakamwambia Yosua: Hivi havitakuwa, kwani tutamtumikia Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao watu wakamwambia Yoshua, La! Lakini tutamtumikia BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wakamwambia Yoshua: “Hapana! Sisi tutamutumikia Yawe tu.”