Joshua 24:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Yoshua akafanya agano na Waisraeli huko Shekemu, akawapa masharti na maagizo ya kufuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile Yoshua akafanya agano kwa ajili ya watu na hapo Shekemu ndipo alipowaandikia amri na sheria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akafanya agano na wale watu siku ile, akawapa amri na agizo huko Shekemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Yoshua akafanya agano na Waisraeli huko Shekemu, akawapa masharti na maagizo ya kufuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile Yoshua akafanya agano kwa ajili ya watu na hapo Shekemu ndipo alipowaandikia amri na sheria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile Yoshua akafanya agano kwa ajili ya watu na hapo Shekemu ndipo alipowaandikia amri na sheria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akafanya agano na wale watu siku ile, akawapa amri na agizo huko Shekemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Yoshua akafanya agano na Waisraeli huko Shekemu, akawapa masharti na maagizo ya kufuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Yosua alivyoagana na watu siku hiyo akiwatolea maongozi na maamuzi huko Sikemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akafanya agano na wale watu siku ile, akawapa amri na agizo huko Shekemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Yoshua akafanya agano na Waisraeli kule Sekemu, akawapa masharti na maagizo ya kufuata.