Joshua 24:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Mwenyezi Mungu akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, baada ya hayo, Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, akafa, mwenye umri wa miaka mia na kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya mambo haya, Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa bwana akafa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, baada ya hayo, Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, mwenye umri wa miaka mia moja na kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya mambo hayo, Yoshua, mwana wa Nuni na mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, akafariki akiwa na umri wa miaka 110.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, hayo yalipomalizika, akafa Yosua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Bwana, mwenye miaka 110.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, baada ya hayo, Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa BWANA, akafa, mwenye umri wa miaka mia na kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya mambo hayo, Yoshua mwana wa Nuni na mutumishi wa Yawe, akakufa akiwa na umri wa miaka mia moja na kumi.