Joshua 24:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Isaka nikampa Yakobo na Esau. Nilimpa Esau milima ya Seiri aimiliki. Lakini Yakobo na watoto wake walikwenda Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Isaka nikampa Yakobo na Esau. Esau nikampa nchi ya vilima ya Seiri, lakini Yakobo pamoja na wanawe wakashuka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Isaka nikampa Yakobo na Esau. Nilimpa Esau milima ya Seiri aimiliki. Lakini Yakobo na watoto wake walikwenda Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Isaki nikampa Yakobo na Esau. Esau nikampa nchi ya vilima ya Seiri, lakini Yakobo pamoja na wanawe wakashuka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Isaka nikampa Yakobo na Esau. Esau nikampa nchi ya vilima ya Seiri, lakini Yakobo pamoja na wanawe wakashuka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Isaka nikampa Yakobo na Esau. Nilimpa Esau milima ya Seiri aimiliki. Lakini Yakobo na watoto wake walikwenda Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Isaka nikampa Yakobo na Esau, naye Esau nikampa milima ya Seiri, aichukue, iwe yake, lakini Yakobo na wanawe wakashuka kwenda Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikampa huyo Isaka, Yakobo na Esau; nami nikampa Esau mlima Seiri aumiliki; Yakobo na watoto wake wakashuka Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye Isaka nikamupa Yakobo na Esau. Nilimupa Esau milima ya Seiri airizi. Lakini Yakobo na watoto wake walikwenda Misri.