Joshua 24:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye niliwatuma Mose na Aroni, nikailetea nchi ya Misri mapigo, na baadaye nikawatoa nyinyi nchini humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kisha nikawatuma Musa na Haruni, nami nikawapiga Wamisri kwa kile nilichokitenda huko, tena nikawatoa ninyi huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikawatuma Musa na Haruni nikaipiga nchi ya Misri, kwa hayo yote niliyoyatenda kati yake; hatimaye nikawatoa ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye niliwatuma Mose na Aroni, nikailetea nchi ya Misri mapigo, na baadaye nikawatoa nyinyi nchini humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kisha nikawatuma Mose na Aroni, nami nikawapiga Wamisri kwa kile nilichokitenda huko, tena nikawatoa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kisha nikawatuma Musa na Haruni, nami nikawapiga Wamisri kwa kile nilichokitenda huko, tena nikawatoa ninyi huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikawatuma Musa na Haruni nikaipiga nchi ya Misri, kwa hayo yote niliyoyatenda kati yake; hatimaye nikawatoa ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye niliwatuma Mose na Aroni, nikailetea nchi ya Misri mapigo, na baadaye nikawatoa nyinyi nchini humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikamtuma Mose na Haroni, nikaipiga nchi ya Misri kwa hayo matendo, niliyoyafanya huko kwao, kisha nikawatoa ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikawatuma Musa na Haruni nikaipiga nchi ya Misri, kwa hayo yote niliyoyatenda kati yake; hatimaye nikawatoa ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma nikawatuma Musa na Haruni, nikailetea inchi ya Misri mapigo, na kisha nikawatoa ninyi katika inchi ile.