Joshua 24:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwatoa wazee wenu kutoka Misri na kuwaleta hadi kwenye bahari ya Shamu. Wamisri waliwafuatia wakiwa na magari na askari wapandafarasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipowatoa baba zenu Misri, mlifika kwenye bahari, nao Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari ya vita na wapanda farasi hadi Bahari ya Shamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawatoa baba zenu watoke Misri; nanyi mkaifikilia bahari; Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka bahari ya Shamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwatoa wazee wenu kutoka Misri na kuwaleta hadi kwenye bahari ya Shamu. Wamisri waliwafuatia wakiwa na magari na askari wapandafarasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipowatoa baba zenu katika nchi ya Misri, mlifika kwenye bahari, nao Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka kwenye Bahari ya Shamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipowatoa baba zenu Misri, mlifika kwenye bahari, nao Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka kwenye Bahari ya Shamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawatoa baba zenu watoke Misri; nanyi mkaifikia bahari; Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka Bahari ya Shamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwatoa wazee wenu kutoka Misri na kuwaleta hadi kwenye bahari ya Shamu. Wamisri waliwafuatia wakiwa na magari na askari wapandafarasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipowatoa baba zenu huko Misri, nanyi mlipofika baharini, Wamisri wakapiga mbio kuwafuata baba zenu kwa magari na kwa farasi mpaka kwenye Bahari Nyekundu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawatoa baba zenu watoke Misri; nanyi mkaifikilia bahari; Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka bahari ya Shamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwatoa wazee wenu kutoka Misri na kuwaleta mpaka kwenye bahari Nyekundu. Wamisri waliwafuatilia wakiwa na magari na waaskari wapanda-farasi.