Joshua 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazameni, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote, liko karibu kupita mbele yenu kuelekea mtoni Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazameni, Sanduku la Agano la Bwana wa dunia yote litaingia ndani ya Mto Yordani likiwa limewatangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote linavuka mbele yenu na kuingia Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazameni, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote, liko karibu kupita mbele yenu kuelekea mtoni Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, Sanduku la Agano la BWANA wa dunia yote litaingia ndani ya Mto Yordani likiwa limetangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazameni, Sanduku la Agano la bwana wa dunia yote litaingia ndani ya Mto Yordani likiwa limewatangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, sanduku la Agano la Bwana wa dunia yote linavuka mbele yenu na kuingia Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazameni, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote, liko karibu kupita mbele yenu kuelekea mtoni Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mtaliona sanduku la Agano la Bwana wa nchi zote, likiwatangulia kuuvuka Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, sanduku la agano la Bwana wa dunia yote linavuka mbele yenu na kuingia Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muangalie, Sanduku la Agano la Bwana wa dunia yote liko karibu kupita mbele yenu kuelekea muto Yordani.