Joshua 3:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, chagueni watu kumi na wawili kutoka makabila ya Israeli, kila kabila mtu mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa basi, chagueni watu kumi na wawili kutoka makabila ya Israeli, mtu mmoja kutoka kila kabila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa twaeni watu kumi na wawili katika kabila za Israeli, kila kabila mtu mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, chagueni watu kumi na wawili kutoka makabila ya Israeli, kila kabila mtu mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa basi, chagueni watu kumi na wawili kutoka katika makabila ya Israeli, mtu mmoja kutoka kila kabila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa basi, chagueni watu kumi na wawili kutoka makabila ya Israeli, mtu mmoja kutoka kila kabila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa twaeni watu kumi na wawili katika makabila ya Israeli, kila kabila mtu mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, chagueni watu kumi na wawili kutoka makabila ya Israeli, kila kabila mtu mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jichagulieni watu kumi na wawili katika mashina ya Waisiraeli, katika kila shina moja mtu mmoja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa twaeni watu kumi na wawili katika kabila za Israeli, kila kabila mtu mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, muchague watu kumi na wawili kutoka makabila ya Israeli, kila kabila mutu mumoja.