Joshua 3:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Waisraeli walipokuwa wanavuka makuhani waliokuwa wanalibeba sanduku la agano walisimama mahali pakavu katikati ya mto Yordani mpaka taifa lote likavuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale makuhani waliobeba Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu, wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Mto Yordani, wakati Waisraeli wote wakiwa wanapita hadi taifa lote likaisha kuvuka mahali pakavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao makuhani waliolichukua sanduku la agano la Bwana wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Yordani; Israeli wote wakavuka katika nchi kavu, hata taifa lile lote likaisha kuvuka Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Waisraeli walipokuwa wanavuka makuhani waliokuwa wanalibeba sanduku la agano walisimama mahali pakavu katikati ya mto Yordani mpaka taifa lote likavuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale makuhani waliobeba Sanduku la Agano la BWANA, wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Mto Yordani, wakati Waisraeli wote wakiwa wanapita hadi taifa lile lote likaisha kuvuka mahali pakavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale makuhani waliobeba Sanduku la Agano la bwana, wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Mto Yordani, wakati Waisraeli wote wakiwa wanapita hadi taifa lote likaisha kuvuka mahali pakavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao makuhani waliolichukua sanduku la Agano la BWANA wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Yordani; Israeli wote wakavuka katika nchi kavu, hadi taifa lile lote likaisha kuvuka Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Waisraeli walipokuwa wanavuka makuhani waliokuwa wanalibeba sanduku la agano walisimama mahali pakavu katikati ya mto Yordani mpaka taifa lote likavuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watambikaji waliolichukua Sanduku la Agano la Bwana wakasimama katikati ya mto wa Yordani na kuishikiza miguu pakavu penyewe, nao Waisiraeli wote wakapitia pakavu; vikawa hivyo, hata watu wote wakaisha kuuvuka Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao makuhani waliolichukua sanduku la agano la BWANA wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Yordani; Israeli wote wakavuka katika nchi kavu, hata taifa lile lote likaisha kuvuka Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Waisraeli walipokuwa wanavuka, makuhani waliokuwa wanalibeba Sanduku la Agano walisimama pahali pakavu katikati ya muto Yordani mpaka taifa lote likavuka.