Joshua 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya siku tatu, maakida wakapita katikati ya marago,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya siku tatu, viongozi wakapita katikati ya kambi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku tatu zilipopita, wenye amri wakazunguka makambini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya siku tatu, maakida wakapita katikati ya marago,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo,