Joshua 3:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akawaambia watu, “Jitakaseni kwa kuwa kesho Mwenyezi-Mungu atatenda maajabu kati yenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akawaambia hao watu, “Jitakaseni, kwa kuwa kesho Mwenyezi Mungu atatenda mambo ya kushangaza kati yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua akawaambia watu, Jitakaseni; maana kesho Bwana atatenda mambo ya ajabu kati yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akawaambia watu, “Jitakaseni kwa kuwa kesho Mwenyezi-Mungu atatenda maajabu kati yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akawaambia hao watu, “Jitakaseni, kwa kuwa kesho BWANA atatenda mambo ya kushangaza katikati yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akawaambia hao watu, “Jitakaseni, kwa kuwa kesho bwana atatenda mambo ya kushangaza katikati yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua akawaambia watu, Jitakaseni; maana kesho BWANA atatenda mambo ya ajabu kati yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akawaambia watu, “Jitakaseni kwa kuwa kesho Mwenyezi-Mungu atatenda maajabu kati yenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua akawaambia watu: Jieueni! Kwani kesho Bwana atafanya vioja kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua akawaambia watu, Jitakaseni; maana kesho BWANA atatenda mambo ya ajabu kati yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akawaambia watu: “Mujitakase kwa sababu kesho Yawe atatenda maajabu kati yenu.”