Joshua 4:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo Bwana akanena na Yoshua, akamwambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, BWANA akamwambia Yoshua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati taifa lote lilipokwisha kuvuka Mto Yordani, bwana akamwambia Yoshua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo BWANA akanena na Yoshua, akamwambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Taifa zima lilipokwisha vuka mto Yordani, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote walipokwisha kuuvuka Yordani, Bwana akamwambia Yosua kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, hapo hilo taifa zima lilipokuwa limekwisha vuka Yordani, ndipo BWANA akanena na Yoshua, akamwambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Taifa zima lilipokwisha kuvuka muto Yordani, Yawe akamwambia Yoshua: