Joshua 4:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na watu wote walipokwisha vuka, wale makuhani wakawatangulia na lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mara tu watu wote walipokwisha kuvuka, Sanduku la Mwenyezi Mungu na makuhani wakavuka watu wakiwa wanatazama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa watu wote walipokuwa wamekwisha vuka kabisa, hilo sanduku la Bwana likavuka, na hao makuhani, mbele ya macho ya hao watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na watu wote walipokwisha vuka, wale makuhani wakawatangulia na lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mara tu watu wote walipokwisha kuvuka, Sanduku la BWANA na makuhani wakavuka watu wakiwa wanatazama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na mara tu watu wote walipokwisha kuvuka, Sanduku la bwana na makuhani wakavuka watu wakiwa wanatazama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa watu wote walipokuwa wamekwisha vuka kabisa, hilo sanduku la BWANA likavuka, na hao makuhani, mbele ya macho ya hao watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na watu wote walipokwisha vuka, wale makuhani wakawatangulia na lile sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, watu wote walipokwisha kuvuka, Sanduku la Bwana nalo likavuka pamoja na watambikaji machoni pa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa watu wote walipokuwa wamekwisha vuka kabisa, hilo sanduku la BWANA likavuka, na hao makuhani, mbele ya macho ya hao watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na watu wote walipokwisha kuvuka, wale makuhani wakawatangulia na lile Sanduku la Agano la Yawe.