Joshua 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wapatao 40,000 wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Mwenyezi-Mungu wakielekea bonde la mji wa Yeriko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya wanaume elfu arobaini waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za Mwenyezi Mungu hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
walipata kama watu arobaini elfu hesabu yao, wenye kuvaa silaha tayari kwa vita, waliovuka mbele ya Bwana, waende vitani, hata nchi tambarare za Yeriko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wapatao 40,000 wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Mwenyezi-Mungu wakielekea bonde la mji wa Yeriko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kiasi cha watu arobaini elfu waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za BWANA hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kiasi cha watu 40,000 waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za bwana hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
walikuwa kama watu elfu arobaini waliobeba silaha tayari kwa vita, waliovuka mbele za BWANA, waende vitani, hadi nchi tambarare za Yeriko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wapatao 40,000 wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Mwenyezi-Mungu wakielekea bonde la mji wa Yeriko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kikosi chao cha washika mata ya vita kilikuwa kama watu 40000 waliovuka machoni pa Bwana kwenda kupiga vita katika mbuga za Yeriko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
walipata kama watu arobaini elfu hesabu yao, wenye kuvaa silaha tayari kwa vita, waliovuka mbele ya BWANA, waende vitani, hata nchi tambarare za Yeriko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu yapata elfu makumi ine wakiwa na silaha tayari kwa vita walipita mbele ya Yawe wakielekea bonde la muji wa Yeriko.