Joshua 4:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waamuru makuhani wanaobeba sanduku la maamuzi, watoke mtoni Yordani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waamuru hao makuhani wanaolibeba Sanduku la Ushuhuda wapande kutoka ndani ya Mto Yordani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, uwaamuru makuhani, hao waliolichukua sanduku la ushuhuda, kwamba wakwee juu kutoka mle katika Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waamuru makuhani wanaobeba sanduku la maamuzi, watoke mtoni Yordani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waamuru hao makuhani wanaolibeba Sanduku la Ushuhuda, wapande kutoka ndani ya Mto Yordani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waamuru hao makuhani wanaolibeba Sanduku la Ushuhuda, wapande kutoka ndani ya Mto Yordani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, uwaamuru makuhani, hao waliolichukua sanduku la ushuhuda, kwamba wakwee juu kutoka mle katika Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waamuru makuhani wanaobeba sanduku la maamuzi, watoke mtoni Yordani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waagize watambikaji wanaolichukua Sanduku la Ushahidi, wapande na kutoka Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, uwaamuru makuhani, hao waliolichukua sanduku la ushuhuda, kwamba wakwee juu kutoka mle katika Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Uamuru makuhani wanaobeba sanduku la agano, watoke katika muto Yordani.”