Joshua 4:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa hao Waisraeli, yaani mtu mmoja kutoka kila kabila,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, twaeni watu waume kumi na wawili katika hao watu, kila kabila mtu mmoja,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa hao Waisraeli, yaani mtu mmoja kutoka kila kabila,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa watu, kila kabila mtu mmoja,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, twaeni watu wanaume kumi na wawili katika hao watu, kila kabila mtu mmoja,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Chagua watu kumi na wawili miongoni mwa hao Waisraeli, yaani mtu mmoja kutoka kila kabila,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jichagulieni katika watu wa ukoo huu watu kumi na wawili, katika kila shina moja mtu mmoja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, twaeni watu waume kumi na wawili katika hao watu, kila kabila mtu mmoja,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Chagua watu kumi na wawili kati ya hao Waisraeli, ni kusema mutu mumoja kutoka kila kabila,