Joshua 4:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Yoshua akayasimamisha huko Gilgali yale mawe kumi na mbili waliyokuwa wameyachukua katikati ya Mto Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yale mawe kumi na mawili waliyoyatwaa katikati ya Yordani Yoshua akayasimamisha Gilgali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yale mawe kumi na mawili ambayo walikuwa wameyachukua katikati ya Mto Yordani, Yoshua akayasimamisha huko Gilgali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Yoshua akayasimamisha huko Gilgali yale mawe kumi na mawili ambayo walikuwa wameyachukua katikati ya Mto Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yale mawe kumi na mawili waliyoyatwaa katikati ya Yordani Yoshua akayasimamisha Gilgali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyachukua kutoka mtoni Yordani, huko Gilgali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yale mawe kumi na mawili, waliyoyachukua mle Yordani, Yosua akayasimika Gilgali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yale mawe kumi na mawili waliyoyatwaa katikati ya Yordani Yoshua akayasimamisha Gilgali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akayasimika yale mawe kumi na mawili ambayo waliyatwaa kutoka muto Yordani, kule Gilgali.