Joshua 4:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawaambia hivi: ‘Taifa la Israeli lilivuka mto huu wa Yordani mahali pakavu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mtakapowaarifu watoto wenu mkisema, Israeli walivuka mto huu wa Yordani, kwa njia ya nchi kavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawaambia hivi: ‘Taifa la Israeli lilivuka mto huu wa Yordani mahali pakavu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi waambieni, ‘Israeli walivuka mahali pakavu katika Mto Yordani.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mtakapowaarifu watoto wenu mkisema, Israeli walivuka mto huu wa Yordani, kwa njia ya nchi kavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawaambia hivi: ‘Taifa la Israeli lilivuka mto huu wa Yordani mahali pakavu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtawajulisha hiyo maana na kuwaambia: Waisiraeli waliuvuka huu mto wa Yordani pakavu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mtakapowaarifu watoto wenu mkisema, Israeli walivuka mto huu wa Yordani, kwa njia ya nchi kavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawaambia hivi: ‘Taifa la Israeli lilivuka muto huu wa Yordani pahali pakavu.’