Joshua 4:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili watu wote wa dunia wajue kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu una nguvu; nanyi mpate kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alifanya hivi ili mataifa yote ya dunia yapate kujua kuwa mkono wa Mwenyezi Mungu ni wenye nguvu, na ili kila wakati mpate kumcha Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu wote wa duniani wapate kujua mkono wa Bwana, ya kuwa ni mkono wenye uweza, ili wamche Bwana, Mungu wenu, milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili watu wote wa dunia wajue kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu una nguvu; nanyi mpate kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alifanya hivi ili kwamba mataifa yote ya dunia yapate kujua kuwa mkono wa BWANA ni wenye nguvu, na ili kwamba kila wakati mpate kumcha BWANA Mungu wenu milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alifanya hivi ili kwamba mataifa yote ya dunia yapate kujua kuwa mkono wa bwana ni wenye nguvu, na ili kwamba kila wakati mpate kumcha bwana Mwenyezi Mungu wenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu wote wa duniani wapate kujua mkono wa BWANA, ya kuwa ni mkono wenye uweza, na ili nanyi mpate kumcha BWANA, Mungu wenu, milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili watu wote wa dunia wajue kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu una nguvu; nanyi mpate kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, makabila yote ya nchi watakapoujua mkono wa Bwana kuwa wenye nguvu, kusudi mpate kumwogopa Bwana Mungu wenu siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu wote wa duniani wapate kujua mkono wa BWANA, ya kuwa ni mkono wenye uweza, ili wamche BWANA, Mungu wenu, milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi watu wote wa dunia wajue kwamba mukono wa Yawe una nguvu; nanyi mupate kumwogopa Yawe, Mungu wenu, milele.”