Joshua 5:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akamjibu; “Wala wenu wala wa adui zenu! Ila mimi ni kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu, na sasa nimewasili.” Yoshua akainama chini akasujudu, kisha akamwuliza, “Bwana wangu, mimi mtumishi wako, unataka nifanye nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “La, siko upande wowote, lakini mimi nimekuja nikiwa jemadari wa jeshi la Mwenyezi Mungu.” Yoshua akasujudu, uso wake ukigusa chini, akamuuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, La, lakini nimekuja sasa, nili amiri wa jeshi la Bwana. Yoshua akapomoka kiusouso hata nchi, naye akasujudu, akamwuliza, Bwana wangu aniambia nini mimi mtumishi wake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akamjibu; “Wala wenu wala wa adui zenu! Ila mimi ni kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu, na sasa nimewasili.” Yoshua akainama chini akasujudu, kisha akamwuliza, “Bwana wangu, mimi mtumishi wako, unataka nifanye nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “La, siko upande wo wote, lakini mimi nimekujia nikiwa amiri jeshi wa jeshi la BWANA.” Yoshua akaanguka kifudifudi hadi nchi, akasujudu, akamwuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “La, siko upande wowote, lakini mimi nimekuja nikiwa jemadari wa jeshi la bwana.” Yoshua akaanguka kifudifudi hadi chini, akasujudu, akamuuliza, “Je, Bwana, una ujumbe gani kwa mtumishi wako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, La, lakini mimi ni kamanda wa jeshi la BWANA, nimekuja sasa. Yoshua akainama chini hadi nchi, akasujudu, akamwuliza, Bwana wangu aniambia nini mimi mtumishi wake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akamjibu; “Wala wenu wala wa adui zenu! Ila mimi ni kamanda wa jeshi la Mwenyezi-Mungu, na sasa nimewasili.” Yoshua akainama chini akasujudu, kisha akamwuliza, “Bwana wangu, mimi mtumishi wako, unataka nifanye nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema: Sivyo, kwani mimi ni mkuu wa vikosi vya Bwana; nimefika sasa hivi. Ndipo, Yosua alipojiangusha chini kifudifudi, amwangukie, akamwuliza: Bwana wangu yuko na maneno gani ya kumwambia mtumishi wake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, La, lakini nimekuja sasa, nili amiri wa jeshi la BWANA. Yoshua akapomoka kiusouso hata nchi, naye akasujudu, akamwuliza, Bwana wangu aniambia nini mimi mtumishi wake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akamujibu: “Wala wenu wala wa waadui zenu! Lakini mimi ni jemadari wa jeshi la Yawe, na sasa nimefika.” Yoshua akainama chini kwa heshima, kisha akamwuliza: “Bwana wangu, unataka mimi mutumishi wako nifanye nini?”