Joshua 5:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya jiwe gumu ili uwatahiri Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya gumegume na uwatahiri Waisraeli tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Bwana akamwambia Yoshua, Haya, jifanyie visu vya mawe ya gumegume, watahiri tena wana wa Israeli mara ya pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya jiwe gumu ili uwatahiri Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo BWANA akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri Waisraeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo bwana akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri Waisraeli tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo BWANA akamwambia Yoshua, Haya, jifanyie visu vya mawe ya gumegume, watahiri tena wana wa Israeli mara ya pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya jiwe gumu ili uwatahiri Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati huo Bwana akamwambia Yosua: Jitengenezee visu vya mawe makali, uwarudie wana wa Isiraeli kuwatahiri mara ya pili!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo BWANA akamwambia Yoshua, Haya, jifanyie visu vya mawe ya gumegume, watahiri tena wana wa Israeli mara ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, Yawe akamwambia Yoshua: “Tengeneza visu vya jiwe gumu kusudi uwatahiri Waisraeli.”